Kwa walimu wa kiingereza

mama yu

Senior Member
Apr 24, 2012
143
42
Habar wadau.naomba kujua vitabu vya kufundishia na vya "literature" mnavyotumia mashuleni kwenu..maana huu utandawazi wa vitabu unachanganya sana.
 
kuwaa specific mwalimu literature ya o level/advance?? pia gusia aina ya vitabu ama mashairi ungependa kuyapata maana vitabu havichambuagi kila aina ya kitabi cha literature
 
Ni O level madam Mwajuma.tuanze na vya ki-ada kwanza(vya kufundishia ,mbali na Literature).
 
Back
Top Bottom