tomjelly
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 560
- 198
Wana jamii habari zenu wakuu? Naombeni msaada kujulishwa hili kwa anaefahamu. Nna ndugu yangu wa kike alifeli la saba. Sasa tunamtafutia shule ya sekondari ya kujiunga pale Iringa mjini. Je ni shule Gani nzuri wanafundisha vizuri na gharama zao ni nafuu??. Kwa Iringa mjini? Msaada tafadhari kwa anaefahamu. Natanguliza shukrani pia samahanini kwa usumbufu.