Habari wakuu, nilisoma degree yangu ya kwanza kozi ya I.T kutokana na ugumu wa ajira nimefikiria kusoma postgraduate open university kwenye kada ya ualimu chuo kikuu huria, je huku nako ajira ni za moja kwa moja kwa style ninayotaka kutumia kwani sihitaji kukaa tena chuoni nataka niwe mtaani naendelea na shughuli zangu.
Nawasshukuru sana.
Nawasshukuru sana.