Kwa mwalimu wa Geography

YAKUTA

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
412
184
Katika kitabu cha kufundishia geography form one(oxford)
kinaeleza kwamba kuna sayari nane(8)

PLUTO was demoted from being a planet by INTERNATIONAL ASTROMIC UNION(IAU) in 2006 kwa sababu it failed to meet the third condition to be a planet

CONDITION FOE HEAVILY BODIES TO BE A PLANET

, Must revolve around the sun

,be large enough that it take on nearly round shape

, clear its orbit for other objects

According to that book PLUTO share its orbit with other heavily body called KUIPER BELT OBJECT

they referred it as DWARF PLANET

Lakin kwa vitabu vingine vya ziada eg COMPREHENSIVE GEOGRAPHY FOR SECONDARY SCHOOLS: BOOK TWO vinaeleza kuwa kuna sayari tisa

HOWEVER according to ATLAS FOR EAST AFRICA(2007) Dr Alan Stern( the principle investigator of NASA)
wants to reinstate PLUTO as a planent since even the EARTH does not meet the third condition, it shares its orbit with other objects

so as a geography teacher where can u stand

kumfundisha mwanafunzi kwamba kuna sayar nane ama tisa??

mawazo yenu Gt...jf hakiharibiki kitu
 
@DUASkuna link nlikuwa nashare na wewe nkajikuta ni open thread mpya badala yakushare hapa ichek
 
@DUASkuna link nlikuwa nashare na wewe nkajikuta ni open thread mpya badala yakushare hapa ichek

madam mwajuma nimeisoma kwa umakin mkubwa link yako lakin committee haija-conclude where to stad

ama kubaki na pluto kama planet ama iingizwe nayo

na kama mwalim umfundishe kip mwanafunz bcoz bado kuna contraversal
 
kuna mwandishi ' Richard son jaribu kusoma vitabu vyake, kumbuka waandishi wa vitabu sio wataalamu wao wanachukua kilichotafitiwa na wataalam , lazima uiweke ya mwisho kuwa ni not yet confirmed as a planet japo utaweleza characteriatics zake wajuw tu kuwa bado inatafitiwa lakini ipo sio dhambi mwalimu
 
kitabu gan hasa naweza pata maelezo yaliyojitosheleza

ila waandishi huwa na ujuzi na kile wanachokiandikaa
 
Jana nilikuwa napitia baseline ya kidato cha kwanza imetolewa na wizara ya ELIMU chini ya uangaliz wa British council nmeona kuna sayari nane Pluto hamna, pia hicho kitabu cha Oxford kinaonesha kuna sayari name, but kuna kitabu kimetolewa na TIE kinaeleza kuna sayari tisa na pluto ikiwemo.inachanganya KWA kweli
 
Fundisha Tisa, ikitokea swali NECTA kuhusu sayar naamin markers watakubaliana anayeitaja na asiyeitaja kwamba wamepata. form one ni wachanga Sana hupaswi kuwapa idea mbili contravesial.
 
Hata mi ilinipa shida sana . tutafute vitabu vinavyoeleza sifa za sayari ili tujue pluto imepoteza sifa zipi kuitwa sayari?
 
pole sana, kwa mimi nitafundisha kuna sayari nane.unaposema sayar ziwe katika mfumo wa jua basi na ziwe katika jua.ni kwamba kwa bahati mbaya sayari ya pluto haifikiwi na hizi sun rays nikiwa nina maana haifikiwi na miale ya jua.hvyo kutokana na udogo wake pia kutokufikiwa na jua ikafanya ipoteze sifa y kuwa sayar na kuondolewa kwasababu haipo katika mfumo wa jua. lakini majibu zaid yanakuja kwan wataalamu wa anga(NASA) walituma chombo kuelekea pluto na majibu wanasema kitafika mwez april 2016 kimebakiza kama kilomita mil.25 so tutajua zaid baada ya uchunguzi.
 
Lakini sun rays zinafika Pluto.

Unaongelea kuhusu chombo kinachoitwa New Horizons? Kimeshapita Pluto mwaka uliopita. New Horizons - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom