Mfumo wa Division

R100

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
337
81
Eti kwa huu mfumo wa division principle pass zinazo muwezesha mtu kuendelea na degree zina kuwaje??naombeni msaada.
 
Si subiri matokeo ninacho subiri ni kufanya mtihani mwezi wa tano kama pc
 
Principles 2, jpo unakuw na nafac fnyu xn due 2 competition, ikiw science at least though nako unaweza ucsome course unayotaka cz ufaulu upo chn xn with regard to course requirements
 
Back
Top Bottom