Msaada kuhudu JKT

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,364
1,315
Je ajira baada ya kuhitimu jkt kwa wale ambao hawakufaulu form 4 ni uhakika....??
JKT unaruhusiwa kuingia na simu.....??
 
we jkt hawaluhusu kuingia na simu utanyanganywa tu hiyo simu yako baada ya six week ndo mtapewa sim u zenu
 
Je ajira baada ya kuhitimu jkt kwa wale ambao hawakufaulu form 4 ni uhakika....??
JKT unaruhusiwa kuingia na simu.....??

1:Baada ya kuhitimu ajira SIO uhakika.Ukibahatika sawa,mkataba wako ukiisha kabla haujapata utapewa cheti na utarudi nyumbani kujiajiri kwa kutumia skills ulizopewa huko

2:Simu utaenda nayo ingawa utaikabidhi hadi baadae mtakaporudishiwa.Inaweza ikawa baada ya wiki sita au hadi kozi inaisha
 
Back
Top Bottom