Nimetumia idadi ya shule 9 kama sampuli katika uchambuzi huu nazo ni manushi, sungu, Cryril chami, MASOKA, mangi sina somsom, mkombole, Kirima na Okaoni, nimependa kutumia shule hizi ili kupata...
Wana JF naomba msaada wenu, namtaftia mwanangu shule ya bweni inayotoa elimu ya A level ila napenda iwe ya kiislam ambayo inafanya vizuri kwenye matokeo ya form six, iwe mkoa wowote ule nipo...
Mdogo wangu alifanya mtihani wa kwanza akawa na C mbili za geografy na history.Akaresit sasa amepata C moja ya History.Je anaweza kwenda advance private kwa kutumia mitihan miwili hyo? au anaweza...
Applications are invited from qualified Tanzanians from the Public Sector to apply for
the Master’s Degree Programs tenable in the Republic of Korea for the year
2016/2017.
For more information...
Hivi inakuwaje pale vijana wanapotokea walilipa pesa ya mtihani kwa wakati lkn cha kushangaza matokeo yao wamewekewa *E* ?
Kuna vijana kama 10 shule moja (LUGUNGA SEC) wamepatwa na tatizo hilo...
Cwt ni kikundi cha watu wachache kinachopiga hela kupitia kivuli cha shida za walimu,ni chama ambacho kmeshindwa kuishawishi serikali kutatua shida za walimu miaka nenda rudi;shida hizi ndio...
I'd like to share my experience of using a free software to create ebooks, and describe the steps I followed to achieve that. One of the great things about this software is the ability to add...
Dago langu anataka asome CBG
Chemistry ana C
Biology ana C
Geography ana C
Ila basic math ana F
Kwa shule za government ataweza kuchaguliwa kusomea hiyo comb? Na je asipo chaguliwa hiyo comb...
Mimi ni mwanafunzi wa NIT wa mwaka wa kwanza ninayechukua bachelor ya Computer Science na bado hatujajua ratiba rasmi ya kozi yetu kwa semister hii had sasa.
Siku ya leo wenzetu wa IT wamepata...
Chama cha walimu ni chama kama vyama vingine vya wafanyakazi(trade union) ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya walimu ambao ndio wanachama ambao huchangia kwa kukwatwa toka kwenye mishahara.lakini...
Chuo cha afya Tandabui-Mwanza(TIHEST), Kimetanga nafasi za masomo kwa muhula 2013/14.
Kozi za clinical officer na kozi za health records and information management. Tembelea tovuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.