Njia sahihi za wanafunzi kudai haki zao

avi.JNR

Senior Member
Nov 17, 2015
139
87
Nimeuliza ili swali ili nione ni njia GANI wanafunzi VYUONI wanaweza kutumia njia sahihi KU DEMAND THEIR RIGHTS
lakini muda mwingi WANAFUNZI utUMIA MIGOMO na kuandamana kama NJIA SAHIHI kwao kufikisha UJUMBE sehemu Uska..
Na uonekana hawajafanya vyema kwakuwa wanakuwa wameenda na kinyume na sheria..LAKINI ukiona mwanafunzi wa chuo KAFIKIA stage ya KUINGIA ROAD kuandaman ujue kajaribu the ALL LEGAL WAYS na bado kadhalaurika ..
..So ni njia Ipi sahihi .maana naamini kuna watu wanauelewa mkubwa hapa
 
Back
Top Bottom