Habari wa JF,
Naombeni ushauri,nimesoma degree ya kwanza ya education ya open university ila GPA yangu iko chini yan 3.3.
Je naweza kupata chuo cha kusoma masters na kwa mashart yapi? maana naskia qualifications ni above GPA 3.5.
Nitashkuru wapendwa.
G.P.A yako ina kuruhusu kufanya masters hizo mambo za kazini miaka mitatu sidhani km zna nguvu sana.....asante,mm n mwalimu shule ya msingi tangu 2012 hvo tokea kuajiriwa nimekuwa nikisoma open,je hcho kigezo cha kufanya kazi miaka mitatu kinazingatia tokea nilipomaliza degree au?