NGOs na ufadhili

biarakeyz

Senior Member
Jan 19, 2016
183
47
wabari zenu wakuu!hivi kunakuna kuna taasisi binafsi zinazotoa ufadhili wa masomo ya elimu yajuu then after graduating ukawork under behalf of them?
 
Dah! afadhari kuna NGO inawatafuta sana vijana wa kuwasomesha ila uwe tayari kuwafanyia kazi miaka 7 huku ukikatwa asilimia 10 ya mshahara wako. Ni PM kama unahitaji tafadhari.
 
Kama wewe ni mtaalamu wa math na masomo ya sayansi kuna hii taasisi inaitwa African Institute of Mathematical Science (AIMS) hawa wanatoa full scholarship na wana vituo vyao pia vya kufanya kazi kwa Maelezo zaidi nenda kwenye web yao.
 
nimekupata kaka asante

inawezekana,nenda church unakosali na wazazi unaweza kupata msaada.ukishindwa hapo chuo utakapochaguliwa omba part time employment
asante nikwamba na scholarship ila co full scholarship hivo kunakijisehem kwajl ya kuongezea,so find a sponsor
 
Back
Top Bottom