Msaada: Kujiunga na Tanzania Institute of Banker

gwambasa

New Member
Dec 5, 2014
3
0
Jamani kwa yeyote anaefahamu taratibu za kujiunga na TIOB(Tanzania institute of bankers) naomba anifahamishe, inachkua mda gan tangu kutuma form yao na kupata membership, wanawasiliana na wewe au wanapost kwenye website yao?

Msaada please
 
Back
Top Bottom