kupandisha sio tabu wala shida kila ukishapandishwa maafisa utumishi ni shida kweli
kuna mfumo wa LAWSON Unaweza maliza miezi hata sita hujarekebishiwa mshahara picha ya kuwa na barua ya kupanda daraja
your long process to change info zako xo it take long timekupandisha sio tabu wala shida kila ukishapandishwa maafisa utumishi ni shida kweli
kuna mfumo wa LAWSON Unaweza maliza miezi hata sita hujarekebishiwa mshahara picha ya kuwa na barua ya kupanda daraja
Wewe ni mwalimu? Inakucost nini kuandika S hadi uandike xwait ndo utaratbu xo lazma uhakikiwe
Nikikuta mtu kaandika X, ninakuwa tayari nimeishajua uelewa wake na elimu yake. Mara nyingi sisomi mpaka mwisho.Wewe ni mwalimu? Inakucost nini kuandika S hadi uandike x
Huo maandiko wa x unatia kinyaa sana
Basi watu huwa hawaelewi, yani mtu akishaandika x anapoteza umaana wa anachokiwasilisha wasomaji tayari tunahisi utumboNikikuta mtu kaandika X, ninakuwa tayari nimeishajua uelewa wake na elimu yake. Mara nyingi sisomi mpaka mwisho.