Waliofeli wapewe Nafasi ya kurudia Darasa

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,394
16,391
Napendekeza na Wizara ilione hili, ili kupunguza vijana wengi mtaani wasiokuwa na kazi au shughuli za kufanya serikali iamue sasa vijana wote waliopata Division Ziro wapewe nafasi ya kurudia shule hata kidato cha 3 ili waweze kurekebisha walipokosea.

Manake hali ni mbaya watu zaidi ya Laki moja form four for four years for nothing!!
Warudie tu shule watajifunza....
 
sasa lengo la mtihani hapo litakuwa ni lipi? si bora waifute tu mitihani yenyewe. Lengo ni kupunguza wajuaji mbulula wawe wengi. Mtihani ni kuondoa mapepe mpunga ubaki
 
sasa lengo la mtihani hapo litakuwa ni lipi? si bora waifute tu mitihani yenyewe. Lengo ni kupunguza wajuaji mbulula wawe wengi. Mtihani ni kuondoa mapepe mpunga ubaki

Wanaweza kupewa another chance!!
 
Karibuni chuo cha maendeleo ya wananchi Kiwanda FDC kilichipo tanga wilaya ya Muheza. For more information call me 0653921339...your most welcome
Njaba unakitu unataka kuwaambia vijana wetu,hebu weka wazi hapa ueleweke,FDC mnajishughulisha na nini?
 
Napendekeza na Wizara ilione hili, ili kupunguza vijana wengi mtaani wasiokuwa na kazi au shughuli za kufanya serikali iamue sasa vijana wote waliopata Division Ziro wapewe nafasi ya kurudia shule hata kidato cha 3 ili waweze kurekebisha walipokosea.

Manake hali ni mbaya watu zaidi ya Laki moja form four for four years for nothing!!
Warudie tu shule watajifunza....
Nikweli kaka
 
Kama Miaka Minne ( 4 ) Yote Kajitahidi Alivyoweza Huku Matwisheni Yakiwa Kibao Na Mikogo Yao Ya Kusolvu Past Papers Kapiga " Keep Left " Nikimaanisha Division Zero Na Four Oclock ( Div IV ) Leo Imebaki Miezi Saba ( 7 ) Tu Huku Kwanza Akiwa Na STRESS Za KUFELI, Halafu Mzee Mzima Magu KAZUIA Twisheni Na Akiwa Amekaa Muda Mrefu Mtaani Kusubiri Matokeo Akiwa Anatongozwa, Kutumika Na Kutoa Mimba Kwa Binti Na Kwa Kijana Akiwa Muda Wote Anashinda Vijiwe Vya Bodaboda Kuomba DEIWAKA Ya Kuendesha Boda Boda Huku Kichwa Kikiwa Kimetawaliwa Na Viroba Unategemea Hapo Atapata Division Gani? Hivi Hili Nalo Kuliona Tu Kwa Jicho La Tatu Ni Gumu?
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa PC yaann Private Candidate hiyo fursa ipo since 1900's wachukue fomu na kurudia mitiani no way out
 
Kufeli si mwisho wa maisha!!! Kusoma pia ni kipaji,kujitoa Na uelewa wa hali juu kabisa ktk familia Na jamii husika..nn maana ya elimu hata ivyo kuna njia nyingine za kufikia malengo ya kusoma...PC ni mfano mzr kabsa pia familia husika Na serikali zijipange vzr kutoa elimu ilio bora zaidi Na so bora elimu!
 
Back
Top Bottom