Viwango vya ufaulu

Jassbein

Member
Feb 8, 2013
40
1
Habar zenu wa jf
Naomba kwa anaye jua viwango vya ufaulu ya A n ngap had ngap b c d e f nazo n ngap had ngap anijulishe.
 
Habar zenu wa jf
Naomba kwa anaye jua viwango vya ufaulu ya A n ngap had ngap b c d e f nazo n ngap had ngap anijulishe.
Ngoja nikupe grade mpya kwa advanced level
0-34 F
35-39 S
40-49 D
50-59 C
60-69 B+
70-79 B
80-100 A
FORM SIX WA MWAKA HUU TUTATUMIA HIZO
 
Back
Top Bottom