MKuu was Chuo Cha Eden Hills College kilichopo Kibaha maeneo ya Msufini Mlandizi, ninatangaza nafasi za kazi za Ualimu wa ngazi za Diploma na Certificate kwa kozi Journalism and Mass Communication, Information Communication Technology (ICT), na Education (Primary and Early Child Hood Teaching).
Waombaji wawe na Bachelor Degree, Diploma au Zaidi
Tafadhali wasiliana na MKuu wa Chuo kwa simu namba 0789343435.
Waombaji wawe na Bachelor Degree, Diploma au Zaidi
Tafadhali wasiliana na MKuu wa Chuo kwa simu namba 0789343435.