MSAADA KWA HILI WANA JF

james96

Member
Apr 24, 2015
58
14
hivi ni kweli chuo cha CITY COLLAGE.hakina walimu wa kutosha pia ajira baada ya kumaliza ni shida kupatikana.
naomba maoni yenu kwa anaekijua vizuri wana jf.nna mashaka na hilo japo mzazi anataka kunipeleka hapo kusoma ila naomba maoni yenu kwa wanaokifahamu vizuri hiki chuo.
nataka kwenda kusoma clinical medicine.
 
Back
Top Bottom