dsm-dsm
Member
- Feb 23, 2016
- 58
- 9
Nina taaluma ya ualimu ngazi ya cheti yani daraja la lllA,niliajiliwa miaka 5 iliyopita ila kutokana na matatizo niliyopata ikanilazimu nirudi nyumbani,sasa nahitaji kurudi kazini nifanyeje?? Kuna wengine wanasema niende diploma lakin sijui njia zake za kuapply niweze kupata nafasi