moudy_b6
Member
- Aug 3, 2015
- 81
- 4
Wakuu kwa aliepata taarifa kuhusiana na hii taarifa kuwa vyeti vya wanafunz wa form six waliomaliza mwaka 2015 kutopewa km baraza la mitihan lilivyo agiza kwa hofu ya GPA...hii taarifa niliona juu juu tu kwenye social media..cjaipata in detail...kwa aliesikia na alieipatia ufafanuz hii taarifa naomba anijuze......Nawasilisha.