dsm-dsm
Member
- Feb 23, 2016
- 58
- 9
Nina taaluma ya ualimu ngazi ya cheti yaani daraja la IIIA,miaka 5 iliyopita nilipata ajira baada ya kuhitimu chuo,ila kutokana na matatizo niliyopata ktk kituo changu ch kazi ikalazimu nirudi nyumbani kwa kipindi chote hicho.sasa nifanyeje niweze kuendelea na diploma au kupata ajira upya??