Kwenda technical college like DIT na A-Level wapi ni bora zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenda technical college like DIT na A-Level wapi ni bora zaidi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Greater thinker, Oct 7, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  waungwana kwa mwanafunz alyemalza kdato cha 4 (science) na yuko na passion ya kuwa degree holder wa computer engineering....sasa unaweza ukamshaur vp huyu mwanafunz aende tech.collg kma mist,dit,etc km unavojua kuwa uktaka kuwa na qualifctn nzur za kwenda chuo kuchukua computer engineering lazma uwe na point si chn ya tano PCM..na yy anavojiona kwa uwezo wake kuwa hawez akfksha hzo point 5...uwezo wke n point 7...so advce wakuu na mtoe advantge na disadvntage kwa both sides
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna wa2 kibao wana pts 16 wanasoma hyo program pale udom..uoga wenu unawaponza watanzania,ebu nenda A-level bwana mdogo.
   
 3. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kama ndoto zake ni kuwa degree holder basi aende form five, ila kama ana ubavu aende pale DIT kwani pako njema katika masuala ya Compyuter and electronics, kama uwezo wake utakuwa mzuri basi after three years anaweza kujiunga pale ECSE kupambana na vijana wenye point 3,4 au5, Kufaulu ni mipango ya mungu na hakuna mjanja kwenye mtihani so asiseme uwezo wake ni point saba huo ni uongo wa wazi kabisa, anaweza akasema atapata single ya saba akakuletea tatu ya 16, so mimi ninamshahuri aende Technical college kama mimi na akiwa mkali basi anaweza kwenda mlimani,
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,888
  Trophy Points: 280
  Amejuaje atapata 7 ?
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  labda anadhan hyo 7 inagaiwa kama mahindi au vyandarua vya msaada vya jk!!
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Aache kabisa mie wakati nipo Olevel pale iyunga nilipenda sana maisha ya watu wa Mbeya tech so nkaopt kwenda kwenda tech nkapata palepale mbeya ndugu zang walisoma hawakupenda mie kwenda pale wakat naeza enda alevel wakanibeba nikaenda advance then chuo kurud kazin mie boss waskaji wang wao wanagonga spaner 2 nafasi ni ndogo kujiendeleza ukipitia huko.
   
 7. C

  CONECTED GUY Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KAMA WE UNATAKA KUSOMA UAJIRIWE NENDA DIT UTAPATA EXPOSURE NA UTAKUWA NONDO
  On othr hand kama unataka sifa nenda katafute a-level then ukitoka chuo ukaanze kubadilisha bahasha-am talkn 4rom experience computer science market imesaturate nowadays
   
 8. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  nashukuru kwa michango yenu bt naomba mnipe adv ya advanc +dsadv n college pia
   
 9. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Siwezi kukupa Advantage za Advance ila nitakupa advantage za DIT kwani mimi ndiko nilikopatia FTC yangu kabla sijatunukiwa shahada pale MECHE Coet

  Advantage za DIT
  • Unaanza maisha ya chuo mapema so matatizo ya elimu ya juu utayazoea mapema
  • Unaanza kula bumu la Industrial Training (IT) UD wanaiita PT mapema so utaanza kufaidi mapema
  • Waalimu wanaokufundisha wengi wana masters so exposure yao ni kubwa tofauti na Advance
  • Hakuna Tuition tofauti na advance
  • Msosi wao si mchezo kila siku usiku na siku za jumapili mnagonga rice, asubuhi chai maziwa na mkate, jumapili mnapiga chai na mayai NB kama ratiba ya msosi haijabadilika kwani mimi nimeondoka huko takribani miaka saba iliyopita
  • Kama ukichemka unaendelea na ujuzi wako kama kawaida
  • Vile vile nafasi ya kwenda chuo kikuu ipo pale pale kwani hata mimi nilikuwa na wasiwasi lakini mungu akasaidia nikapasua na kufanikiwa kwenda mlimani.
  • Siku hizi wanatoa Diploma tena mfumo wa sasa ni rahisi zaidi kwani wanasoma kwa semister so kama wewe ni kichwa ni virahisi kufauru tofauti na enzi zangu kwani kulikuwa na pepa la mwisho kutoka NECTA
  Mkuu nikushauri kama upo serious DIT ni bora kuliko huko unakokufikiria, kuna jamaa walichomoa kujiunga DIT eti wakaenda Advance then at the end walipochemka advance wakaomba St Joseph ambapo wanafundisha Engineering hiyohiyo

  Thanks for further information ni PM
   
 10. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Nenda DIT,UTASOMA UHANDISI KWA MIAKA SITA BADALA YA MI NNE YA VYUO VINGINE (DIPLOMA MIAKA MITATA-3,NA DEGREE MIAKA 3)
  KAMA UNATAKA KUWA COMPETENT NENDA DIT!
  ACHANA NA PROPAGANDA!
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  we kuwa makini na muda unajua ukipitia vyuon kutoka form 4 hadi kuchukua degree hii ni njia ndefu sana tofauti na yule aliyeenda a level hadi kuchukua degree hii ni njia fupi kaa chini uanze kujumlisha miaka.Alafu Unaomba ushauri huku unaonesha kuwa upo upande fulan we amejuaje kama hana uwezo wa kupata 5 pts kabla hata hajayasoma hayo masomo.Faida za kwenda chuo jamaa kashazisema.
   
 12. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nenda DIT kijana..
   
 13. M

  Mutu JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nenda DIT kama unataka kuwa Engineer wa ukweli
   
 14. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  there you are mkuu,aende DIT mfumo wa pale kwa sasa ni mzuri zaidi kuliko mwanzo maana akimalize Diploma anaunganisha degree hapo hapo
   
 15. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  we jamaa yangu acha dharau bwana mbona ivo wewe ushafika eeh! Poa tukutane mtaan
   
 16. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kuna washkaj zangu wawil Wamemalza hapo dit mwaka huu dip,washalamba kazi na me nilikuwa nao clas moja,ndo kwanza nipo 2nd year chuo,nawataman washkaj kiukwel make bdo naish kwa kudra za bumu tu!
   
 17. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  senetor,
  bila shaka unasoma udsm,wewe ni limbukeni sana(sina nia ya kukukwaza/kukukera bt im tellin u da truth),acha dharau kaka,hata udom ni chuo(sihusiani na udom kwa namna yeyote ile),nimefuatilia post zako nyingi,unaonekana mtu wa kupenda kujisifu/kusifiwa hasa kwa chuo unachosomea,udsm!
  Badilika ndugu,maisha yana vipengele vingi sana!
  Samahani kama umekereka mkuu!
   
 18. m

  mamsumi Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda dit a-level kupoteza muda.
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,132
  Likes Received: 23,757
  Trophy Points: 280
  Du Mzee ulisoma DIT zile enzi za kufunga motor nini...he he he, top layer ya Mzee Zoro ilikuwa kiboko!.
   
 20. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  It depends na wewe mwenyewe.
   
Loading...