Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
Hivi karibuni kumekuwa na shitukiza Kwa watendaji wazembe wa Serikal, lkn swali je shitukiza hiyo ina matunda au ni kiini Macho!? Sitak kuamini kuwa tangu mwez wa kumi na moja had Sasa pesa ya transfer Kwa wanafunz wa vyuo bado haijafika sehemu stahiki, je kuna umuhimu Gan wa kufukuza watu ikiwa bado utendaji ni dhaifu!? Serikal fanyen mfuatilie bod ya mkopo watupe pesa zetu, tumechoka Sasa