Mpambalachuma JF-Expert Member Apr 4, 2015 362 44 Feb 25, 2016 #1 Jaman, tangu tuanze chuo pesa yet ya transfer bado haijulikani na UE imefika Sasa sijui tufanyeje nin! Au wengine Tayar mmepata pesa!?
Jaman, tangu tuanze chuo pesa yet ya transfer bado haijulikani na UE imefika Sasa sijui tufanyeje nin! Au wengine Tayar mmepata pesa!?
Mpambalachuma JF-Expert Member Apr 4, 2015 362 44 Feb 25, 2016 Thread starter #2 Mambo magumu Sana jaman