sirmz ndola
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 273
- 32
Habari ambaye ana mawasiliano na chuo cha veta nyakato mwanza kwa upande wa uongozi wa chuo anisaidie plz au kama kuna anayejua long course ambazo zinatolewa hapo chuoni ni kozi zipi anisaidie na gharama zake kwa mwaka