Natafuta Sponsor niweze kusoma masters

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Mm ni mwanafunz wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu nategemea nisome masters pindi tu nikimaliza shahada yangu ya kwanza....naomba tupeane procedure za kutafuta sponsors au kama kuna mtu anaweza kunisponsor anisaidie
 
Ingia kwenye website mbalimbali zitangaza scholar ship hususan za kimataifa.
Pia nivema ukawatumia baadhi ya walimu Wa vyuo unaofahamiana nao huwa wana details nyingi kuhusu scholarship
 
Watu bana hivi masters inakusaidia nini kama hicho kidigirii hakijakunufaisha?
 
Watu bana hivi masters inakusaidia nini kama hicho kidigirii hakijakunufaisha?
Kwani usipocomment unakonda mzee? Kila mtu ana mipango yake, wewe km hukusoma pole au umesoma lkn hujafanikiwa mwache kijana apasue mastaz
 
S/ship nyingi hua ni baada ya kupata uzoefu. Maliza chuo, tafta kazi halafu either jisomeshe au utafte mFadhili
 
Back
Top Bottom