ellybululla
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 105
- 83
Wakuu kwanza kabisa poleni na majukumu...
Naomba kuuliza ni vigezo gani uangaliwa ktk kuchambua ubora wa elimu baina ya nchi na nchi??.. Mfano utasikia elimu ya nchi A ina ubora kuliko nchi B