Masaa machache ya kusoma PCB ya A-Level

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
Kwa miaka 2 muda wa kufundishwa na kujisomea kila siku ni masaa 4, atafanya vizuri.
 
Mkuu Siyo kwa PCB!! Pcb co comb ya masihala! Mim nishasoma hyo nikatoka na 3 ya mwisho na nilikuwa nasoma Boys tu tena bwen! PCB haitak majaribu kam hayo ya 4 hrs!!! Ile ni ful time comb!! Mfano; inorganic chem moja ya topic 6 za chem inafundishwa mpaka 4month! Na zote zipo hvyo! Mkuu kwa hayo masaa ma4 ataweza!! Ushaur kama anatak pcb afaul akakae bwen na aache mapenz! Akirud likizo mwendo wa tuition mwanzo mwisho.
 
Unaioverate pcb, na hizi myth ndizo zilizoipa ugumu usio stahiki.
 
Mkuu Siyo kwa PCB!! Pcb co comb ya masihala! Mim nishasoma hyo nikatoka na 3 ya mwisho na nilikuwa nasoma Boys tu tena bwen! PCB haitak majaribu kam hayo ya 4 hrs!!! Ile ni ful time comb!! Mfano; inorganic chem moja ya topic 6 za chem inafundishwa mpaka 4month! Na zote zipo hvyo! Mkuu kwa hayo masaa ma4 ataweza!! Ushaur kama anatak pcb afaul akakae bwen na aache mapenz! Akirud likizo mwendo wa tuition mwanzo mwisho.
Kweli kabisa mkuu
Kusoma PCB ni zoezi tosha hata ahiitaji kuruka kichura wala mchakamchaka.
Hii combination inahitaji ubora wa shule & bright person, ukisoma hii combination kwa kuiga au shinikizo la watu fulani basi jua unaweza usipate matokeo mazuri

Pia unahitaji uwezo wa kifedha kwaajiri ya tution & materials, maana huwezi soma topic zote kwa kutegemea shule tuu hii inatokana na wingi pamoja na urefu wa topic.
MFANO: Mechanics unaweza kuisoma zaidi ya miezi 5, hiyo ni topic moja tu ya physics
Kwaiyo pasipo msaada wa tution inakuwa vigumu sana kusoma pia kuandika notes zinagharimu muda sana bora ukatoa copy materials
PCB nitofauti na kozi nyingine kwani pcb unasoma masomo 5 pia hata HGE hivyo.

Kwa pcb
.1. Physcs
2. Chemistry
3. Biology
4.BAM
5.GS

Hapo bado practicles za kila somo
Nk
 
Nilisoma Pugu boys PCB. Ni hivi shule za serikali hamna kitu kabisa, hawafundishi wala hawana habari na ama kufaulu ama kufeli kwako! Kama unataka kusoma PCB ni lazima ujitoe hasa na uwe na uwezo wa kusoma kwa masaa mengi kila siku, uwe na moyo wa kushirikiana na wenzako (hapa lazima uwe makini na aina ya watu wa kusoma nao) masomo ni magumu sana lakini ni rahisi kufaulu kama utajitoa. Tuition ni muhimu sana ila kuwa mjanja mambo ni mengi muda mchache, mimi na rafiki zangu tuligawana topics za tuition mfano kwenye chemistry mimi nilisoma Inorganic na niliwafundisha wenzangu, nao walisoma topics zilizobaki wakanifundisha mimi, tulifanikia kupunguza muda wa tuition na gharama na wote tulifanya vizuri. Muhimu ni kuwa na juhudi na kusoma kwa muda mrefu bila kuchoka
 
mnaifanya PCB iwe comb ngumu kumbe ni kitu rahisi,unasoma masaa mengiii mwisho wa siku matokeo ya kawaida.
mimi kwa siku nilikuwa nasoma muda mchache asubuh napiga 3 hours yanatosha tu unakipa kichwa muda wa kupumzika unalala unapiga mazoez unapumzika,usiku napiga masaa 3 tu,2hrs discussion unalala nikapiga 1:4..unasoma kwa target,sio kuanzia asubuh mpka jioni wew bado unasoma tu usiku kutwa mpka asubuh unasoma tu haukipi kichwa muda wa kupumzika kutafakar mambo mengne hapo kufeli kupo wazi.
unasoma kidogo unatafuta mademu wanakuliwaza unapiga bao zako mbili unaiweka akili sawa,ubongo unachangamka cz unakuwa umepata chakula chake
 
hahahahaa.

..ila hapo kwa demu nakusapoti mkuu...mm nilikua mzee wa punyeto ilikuwa inachanganya ubongo ila siku nilipokuwa nafanikiwa kupata demu ...da msuli ulikuwa
unapanda kinyama....tulikuwa tunaita demu dawa....
 
Hujatutendea haki walimu wako hapa pugu! ni kweli hatukuwa tukifundisha?
 
Sorry kama nitakuwa nimekufanya ujisikie vibaya, we felt helpless, that's it!
Madam Mtua (biology) tulimpenda kwa sababu alijitahidi kututia moyo na ushauri wake, Ni mzuri kufundisha lakini hakua na muda, Mzee Kaundula (Chemistry) naye alijitahidi lakini hakufika hata nusu, mambo ni mengi sana asingeweza peke yake. Mwalimu wa Physics hata jina lake sikumbuki. Hata leo hii mimi nawakumbuka na kuwashukuru hawa wawili kwa msaada wao. Sherimo Headmaster wa wakati huo Mungu ambariki kwa sababu aliona tatizo letu alituruhusu kiaina 'kudrop'kwenda tuition mtaani. Kuna rafiki zangu walikua wanalia kutuona sisi tunaweza toka Pugu kwenda Mwenge tuition ikiwa wao hawana uwezo huo, ilikua inaniuma sana, Tulikua tutanunua vitini vya kujisomea, aliye kuwa hana hela-ni kuazima tu, ama apewe ama anyimwe, Kuna wachache walikata tamaa kabisa na hawakufikia lengo, Madam Mtua alikua akituambia changamoto zenu walimu lakini hatukujali sana tulitaka kusoma na kufaulu basi.
Pamoja na yote mmefanikiwa kupata madaktari kadhaa, walimu (watatu wanafundisha vyuo vikuu) na wengi sana wako shule za Sekondari mbali mbali nchini, wataalam wa mimea na zoolojia, madaktari wa wanyama, microbiologists, Pharmacists, na wengine ambao sikumbuki.
Kwa maana ya ushauri niliona niseme nilichopitia ili kama kijana atakutana na mazingira kama yale ajue inawezekana kufaulu.
Nilisikia Kuna maendeleo Shuleni kwetu, maji yapo, majengo yamekarabatiwa na wanafunzi hawachukuliwi wengi kama enzi zetu, hata kudrop hakupo tena. Hongereni.
Ushauri : tutafute namna ya kukutana pamoja sisi tuliosoma hapo Pugu Sekondari na ninyi mlioko hapo, ipo familia kubwa sana na tunao uwezo wa kuifanya Pugu yetu kuwa nzuri sana.
Let's keep in touch!
Karibu
 
mnaifanya PCB iwe comb ngumu kumbe ni kitu rahisi,unasoma masaa mengiii mwisho wa siku matokeo ya kawaida.
mimi kwa siku nilikuwa nasoma muda mchache asubuh napiga 3 hours yanatosha tu unakipa kichwa muda wa kupumzika unalala unapiga mazoez unapumzika,usiku napiga masaa 3 tu,2hrs discussion unalala nikapiga 1:4..unasoma kwa target,sio kuanzia asubuh mpka jioni wew bado unasoma tu usiku kutwa mpka asubuh unasoma tu haukipi kichwa muda wa kupumzika kutafakar mambo mengne hapo kufeli kupo wazi.
unasoma kidogo unatafuta mademu wanakuliwaza unapiga bao zako mbili unaiweka akili sawa,ubongo unachangamka cz unakuwa umepata chakula chake
Tunatofautiana mkuu, Kila kichwa kina uwezo wake, kwangu mimi haiukua rahisi kiasi hicho, ila hiyo ya kazi na dawa ngumu kumeza. Namna Physics ilivyokua inanichanganya ningeongeza na stress za demu ingekua ndio kwisha habari yangu
 
hahahahaa.

..ila hapo kwa demu nakusapoti mkuu...mm nilikua mzee wa punyeto ilikuwa inachanganya ubongo ila siku nilipokuwa nafanikiwa kupata demu ...da msuli ulikuwa
unapanda kinyama....tulikuwa tunaita demu dawa....
We ndio ulikua mgonjwa kabisa, hahaa Puli tena duuu
 
Back
Top Bottom