Kwa Waalimu na wanafunzi wote

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Katika pitapita zangu huko youtube nimekutana na video ya mwalimu mmoja wa huko India akionyesha namna ya kufanya hesabu kwa njia mbalibali na kwa ubunifu mkubwa kitu ambacho kinarahisisha uelewa kwa wanafunzi.

Jionee kwenye hii video

Karibuni.
 
Ualimu ni wito kama tunavyojua na mwalimu bora na mwenye weredi mzuri ni yule anaejifunzi mbinu mbalimbali mbadala za kufundisha kila siku iendayo kwa mungu!!

Tatizo la walimu wetu kwa sasa ni kwamba hawajigunzi na hawabadiliki kutokana mazingira!

Wakishafika kazini huamini kile walinacho kichwani na huwa hawafuatiliii na kujifunza vitu vipya kila siki!!

Mwalimu unamkuta ana daftari la tangu miaka kumi tano iliyopita na habadilishi hata jinsi ya kufundisha kutokana na mabadiliko ya science and technology!

Wito wangu kwa walimu tubadilike na kujifunza njia mbalimbali za kufundishia na hiyo ni njia moja wapo ya kusaidia kukuza uelewa kwa wanafunzi wetu!!

Ahsante!
 
kwa mshahara upiii bongo hii?!!!. ningependa ungeishauri kwanza wenye nchii hii ndio watungasera za elimu...walimu ni wawezeshwaji tu kama wameshindwa kuwezeshwa hawapaswi kulaumiwa.....ualimu ni kazi km kazi zngne
 
Back
Top Bottom