Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
NAOMBA KUJUZWA VYUO VINAVYO TOA NTA LEVEL 1 YA UMEME AU FOUNDATION COURSE KWA MTU MWENYE D MBILI 4M 4
ok asante mkuu je ni vyuo gn vinatoa hv NVA level 1 ya electrical ili badae niweze electrical engeneering.Hakunaga hiyo kitu. Kuna NVA level 1 - 3 Na NTA level 4 Na kuendelea