Ushauri tu..Nenda karipoti polisi ili wakupe loss report baada ya hapo nenda chuo husika ukafahamu Utasaidiwaje.Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika.
Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza nilitumia transcript