Mi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ktk fani ya education .ndoto zangu zilikuwa ni kusomea civil engineering bahati mbaya ckupata hiyo mwaka jana kutokana na ufaulu wangu kwan matokeo ya form vi ni Phy D,chem S, math E,hayo ni kabla ya brn,nililiport nesoma semister ya kwanza ,je nikiamua kubadili fani sec semister wataniruhusu? Maana hapa chuoni wana mech eng,au nikiomba kuahirisha mwaka nikaomba mwakani wanibadilishie watakubali maana ada nililipa ya mwaka na mkopo ckupewa na bod naomben ushaur cna aman na hii fan( ed)