The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Habari zenu wana jamii forum, Nasoma computer science diploma na ni mkazi wa dar es salaam. Leo tumepewa barua za kuomba field ili tukaombe mapema ili ikifika mwezi wa saba tuwe tayari tumeshakamirisha. Hivyo naombone mnishauri kwa wale wanaosoma computer science or IT ni sehemu gan au kampuni gani ambayo ni nzuri kwa kozi yangu maana nasikia kuna sehemu nyingine ukiomba field utakua hujifunzi chochote zaidi ya kukaa tu. Asanteni.