Nachingwea teacher's college mnatutania wazazi

mwambunnyara

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Pamoja na kukua kwa sayansi na teknolojia,lakini NACHINGWEA kwao ni tofauti kabisa.
Wanafunzi walitangaziwa kufunga chuo tar.10/03/2016,wakaambiwa chuo kitafunguliwa tar.29/03/2016,walisisitizwa kufika chuoni tarehe tajwa bila kukosa.(waliambiwa asibaki mwanafunzi yeyote hapo chuo).
Wanafunzi wameondoka kurudi makwao,na mkumbuke wanafunzi wanatoka mikoa mbali mbali.
Cha ajabu ni kwamba, wanafunzi wamekwenda chuoni kwa muda muafaka,wamefika chuoni wanaambiwa WARUDI TENA MAKWAO KWA SABABU AMBAZO HAZIELEWEKI,hivi kwa akili ya kawaida tu,hawa viongozi wa chuo hiki cha NACHINGWEA WANA AKILI SAWASAWA????hivi kwa technology ya kizazi hiki walishindwa hata kutumia Media kutangaza kuwa wanafunzi wasirudi chuoni ili wazazi tusiumie kugharamia safari za watoto wetu mara mbili mbili!!!?
HUU NI USHENZI NA WEHU MKUBWA,SIJUI HII MAANA YAKE NINI.
NADIRIKI KUSEMA KWA HASIRA KABISA KWAMBA,MKUU WA CHUO CHA NACHINGWEA NI MSHENZI NA MPUMBAVU.
 
Hayo ndo majipu###halali JPM kuwatumbua,,,, they can't be serious na uko pwan mikoa ming ni mbal Sana kufikia
 
Pamoja na kukua kwa sayansi na teknolojia,lakini NACHINGWEA kwao ni tofauti kabisa.
Wanafunzi walitangaziwa kufunga chuo tar.10/03/2016,wakaambiwa chuo kitafunguliwa tar.29/03/2016,walisisitizwa kufika chuoni tarehe tajwa bila kukosa.(waliambiwa asibaki mwanafunzi yeyote hapo chuo).
Wanafunzi wameondoka kurudi makwao,na mkumbuke wanafunzi wanatoka mikoa mbali mbali.
Cha ajabu ni kwamba, wanafunzi wamekwenda chuoni kwa muda muafaka,wamefika chuoni wanaambiwa WARUDI TENA MAKWAO KWA SABABU AMBAZO HAZIELEWEKI,hivi kwa akili ya kawaida tu,hawa viongozi wa chuo hiki cha NACHINGWEA WANA AKILI SAWASAWA????hivi kwa technology ya kizazi hiki walishindwa hata kutumia Media kutangaza kuwa wanafunzi wasirudi chuoni ili wazazi tusiumie kugharamia safari za watoto wetu mara mbili mbili!!!?
HUU NI USHENZI NA WEHU MKUBWA,SIJUI HII MAANA YAKE NINI.
NADIRIKI KUSEMA KWA HASIRA KABISA KWAMBA,MKUU WA CHUO CHA NACHINGWEA NI MSHENZI NA MPUMBAVU.
Mkuu naona umeamua kutema nyongo....kufanya kazi kwa mazoea hayo ndo madhara yake
 
Acha kumtukana Mmanywa utakosa kidasi na mzigo juu
 
Ni mshenzi sana,narudia tena,ni mshenzi sanaaa,inawezekanaje watoto wafike chuo tar 30/03 amewaambia warudi nyumbani kwa sababu zisizoeleweka,then tar 03/04 anawaambia warudi chuo haraka,HUU ni wehu kabisa,sasa assume mtoto anatoka Mwanza to NACHINGWEA,anaambiwa arudi kwao(Mwanza) anafika usiku nyumbani,kesho yake jioni anaambiwa "kesho mrudi chuoni haraka"
Kama sio wenda wazimu ni nini?NI UPUMBAVU MTUPU!!!
 
Back
Top Bottom