Naomba ufafanuzi please

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Kuna vyuo kama kile cha hali ya hewa cha Kigoma kinachukuwa watu waliomaliza form 6 PCM lakini ni kwa ngazi ya Diploma.

Je hiyo ni advanced diploma au higher diploma?

Je mshahara ukiajiriwa ni sawa na mtu wa degree? Ufafanuzi tafadhali.
 
Tembelea web site zao kwa more refference mkuu we msomi gani mvivu?
 
Back
Top Bottom