Ndalichako hii ni ya kweli?

mkandya27

Senior Member
Oct 26, 2015
153
30
Kuanza kuvaa sare kwa walimu kuna ukweli ndani yake ? Maana kuna source ya hbr niliipata inasema zoezi litakamilika mei mosi na walimu wakuu wataenda halmashauri kuchukua hizo sare
 
NDALICHAKO NA WALIMU TZ.
Waziri wa elimu sayansi na techinojia Mh.prof joyce ndalichako amesema nguo kwaajir ya walimu zinaandaliwa,kasema kutakuwa na pea tatu ambazo ni mashati matatu meupe,suruali,sket rangi ya blue moja,kijani,mojani na kaki moja,anasema mashati hayo yatakuwa na nembo ya taifa,pia kofia zao zitakuwa na nembo ya taifa hivyo mwongoza wa uvaaji sare hizo utatolewa kasisitiza na kusema kila mwalimu atatakiwa kwenda kazini kwake akiwa na sale hiyo hadi muda wa kazi kuisha,pia kasema muda wa kazi utakuwa ni saa,8:00am hadi saa06:00 jioni,anasema zoezi hilo litakamilika ifikapo mei mosi mwaka huu wakuu wa shule wataenda kuchukua sale hizo h/mashauri kwao.,source mwananchi news to day.,wlm kaz tunayo
 
ahahaha

source?
 
Mtu mzima na akili zako unafowadiwa text WhatsApp badala ya kuhoji huko huko source unaicopy na kuja kuipaste JF
 
NDALICHAKO NA WALIMU TZ.
Waziri wa elimu sayansi na techinojia Mh.prof joyce ndalichako amesema nguo kwaajir ya walimu zinaandaliwa,kasema kutakuwa na pea tatu ambazo ni mashati matatu meupe,suruali,sket rangi ya blue moja,kijani,mojani na kaki moja,anasema mashati hayo yatakuwa na nembo ya taifa,pia kofia zao zitakuwa na nembo ya taifa hivyo mwongoza wa uvaaji sare hizo utatolewa kasisitiza na kusema kila mwalimu atatakiwa kwenda kazini kwake akiwa na sale hiyo hadi muda wa kazi kuisha,pia kasema muda wa kazi utakuwa ni saa,8:00am hadi saa06:00 jioni,anasema zoezi hilo litakamilika ifikapo mei mosi mwaka huu wakuu wa shule wataenda kuchukua sale hizo h/mashauri kwao.,source mwananchi news to day.,wlm kaz tunayo
Unaifahamu Sheria ya makosa mitandao?? Endelea kupayuka payuka tu hapa
 
Serikali imesha kanusha ilo na wahusika wanasakwa ili vyombo vya dola vifanye kazi yake stahiki
 
Back
Top Bottom