kilindi yetu
Member
- Dec 4, 2015
- 7
- 1
Hawa watu wa IT department ya NACTE kama wameshindwa kazi kwanini wasijiuzulu??
Nimekuwa nikijaribu kufanya usajili kwa takribani siku tano sasa lakini kila nikija kwenye ku-choose course niki-click sipati majibu yoyote.
Nikawatext NACTE wakanijibu eti, “Tatizo lako tunalishughulikia jaribu baadae tena”.
Siku tano zimepita mnashughulikia nini? Kama kazi imewashinda wapeni wataalamu wafanye kazi.