Msaada kuhusu mahafali ya vyuo Vikuu

RRusabiko

New Member
Apr 6, 2016
3
7
Ningependa kupata mawazo na pengine kufahamishwa kidogo kuhusu sheria za muongozo wa vyuo vikuu.

Graduation inatakiwa kufanyika muda gani baada ya kuwa umehitimu?
 
Acha Usumbufu Jamaa , Waulize ulosoma nao chuoni kwenyu au nenda kwenye Almanac ya Chuo chako icho ulichosoma utaona siku iliyopangwa .
Mara nyingi Vyuo huwa Kuna Kuchangia Jooh Hata usipohudhuria Siku ya Graduation lazima jooh na contributions husika uilipie tofauti na hapo Certificate na Transcript Hupati without kulipia hzo Mavitu . Usirudie Tena Tata Mura kutuuliza hili Ng'ana Kwani sisi hatukusoma Chuo chenyu wala sio wahusika WA kupanga Ratiba ya mahafali yenyu .
 
mkuu, chuo kikuu gani hicho mwaka wa masomo ulimaliza october? taarifa kamili utazpata uliposoma, ila ungekuwa wazi zaidi.
 
Back
Top Bottom