Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,294
Mimi sio muangaliaji sana wa TV ila kama mara mbili hivi nmeona vituko viwili vilivyoniacha kinywa wazi kwenye kipindi cha skonga cha eatv.
Katika hiki kipindi kunakuwa na maswali madogo madogo yanayoulizwa na mtangazi wa kipindi kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za DSM.
Kituko cha kwanza..mtangazaji alimuuliza mwanafunzi wa shule flani sikumbuki jina..aliulizwa mji mkuu wa Somalia yule mwanafunzi confindently akajibu ni Alshabab.
Kituko cha pili mtangazaji kumuliza mtangazaji..vitu kama meza kabati na stuli kwa pamoja vinaitwaje? yule mwanafunzi akajibu ni vegetables.
Sasa ninachojiuliza, hivi wanafunzi uko shule wanajifunza ujinga au shule wanakojifunzia ndiyo wanafundisha ujinga.?