Leo ni siku ya vitabu duniani, tusome

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,647
Wasalaamu wanajamvi
Leo ni siku ya kusoma vitabu dunian ambayo hyazimishwa kila mwaka tarehe 23. 04. Hivyo nawahiza watanzania tusome vitabu
Nchi nne zinazoongoza kusoma vitabu dunian ni
1. South Korea 11 %
2.USA...8 %
3. Japan 7%
4.china 4%

Mimi naendelea kusoma Movement and revolution
 
Jamani mi Nina swali hivi kwa nini nchi za far east huwa zipo juu Sana kwenye swala LA IQ? .
 
Back
Top Bottom