kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitaka kujua kwamba taarifa sahihi nnaweza kuipata katika mtandao upi maana mitandao mingine huwa na upotoshaji ama kuondoa baadhi ya ukweli flani .. nashukuru kwa wakati wenu mlionipa hivyo naomba tujuzane