Ushauri wa shule nzuri ya kurudia form four please

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,379
Habari za kwenu?

Nina shemeji yangu amemaliza form four mwaka jana,na kupata alama ya D moja tu ya Kiswahili,kwa maana hiyo amepata Div Zero,alisoma shule za kata.

Sasa amesema anataka kurudi shule ikiwezekana arudie kidato cha pili au cha tatu ili aweze kufanya tena mtihani wa kidato cha nne,miaka ijayo.

Naomba msada wa kujua ni shule gani inaweza kuwa nzuri na kupata nafasi? Ningependelea apate shule ya boarding iliyopo kati ya mikoa ya kaskazini (Tanga,Kilimanjaro,Arusha na Manyara) maana ni jirani na nyumbani kwao.

Naomba sana ushirikiano wenu katika hili.

Asante.
Mawasilino ni PM au weka hapa jukwaani!
 
Hiyo itakuwa private, Lkn Poa Kwa kuwa muda wa usajili kidato cha pili umepita hivyo, itakuwa vigumu kuanza kidato cha pili sasa, na akienda kidato cha tatu sasa hv itabidi mwaka ujao afanye km private candidate.
 
Habari za kwenu?

Nina shemeji yangu amemaliza form four mwaka jana,na kupata alama ya D moja tu ya Kiswahili,kwa maana hiyo amepata Div Zero,alisoma shule za kata.

Sasa amesema anataka kurudi shule ikiwezekana arudie kidato cha pili au cha tatu ili aweze kufanya tena mtihani wa kidato cha nne,miaka ijayo.

Naomba msada wa kujua ni shule gani inaweza kuwa nzuri na kupata nafasi? Ningependelea apate shule ya boarding iliyopo kati ya mikoa ya kaskazini (Tanga,Kilimanjaro,Arusha na Manyara) maana ni jirani na nyumbani kwao.

Naomba sana ushirikiano wenu katika hili.

Asante.
Mawasilino ni PM au weka hapa jukwaani!

Aanze form 2 au apige private tu
 
My Take Mpeleke Kizuka {TPDF} High School! Pale Ndo Kiboko Ya Reseater! Shule Ipo Ngerengere Ni Bush Kwenye Kambi Ya Jesh! Hospital Ipo Pemben Ya Shule! Msosi Hata Nyumban Hakuna Kama Ule! Walimu Hawana Masihala Coz Ni Wanajesh! Reseater Wapo Weng!! Ukiona Hapamfah Mpeleke Mchunguz Morogoro! Akifel Tena Chnja Kuku
 
Namuunga mkon Mzee wa chumvin mpelek kizuka kwn mm baada ya kufer 2012 nilienda pale kurudia NA kumaliza mwak jn n kufanikiw kuondok n matokeo mazur San kias ambach hta mm wazee hawakutegemea mla by mwanafunz awe n moy w kuvumilia km nizamu yk mbov atatorok shul kwn cha mot atakiona c mtixh Bali nd hali halis kW wale ambao nizam yao imepinda kidg
 
Mweeee!!! What a handwriting!
 
Shule yeyote ambayo naweza kupata nafasi iwe private au govt.

Ni lazma aanze form2
Unataka bording kwa government or private schools?

My Take Mpeleke Kizuka {TPDF} High School! Pale Ndo Kiboko Ya Reseater! Shule Ipo Ngerengere Ni Bush Kwenye Kambi Ya Jesh! Hospital Ipo Pemben Ya Shule! Msosi Hata Nyumban Hakuna Kama Ule! Walimu Hawana Masihala Coz Ni Wanajesh! Reseater Wapo Weng!! Ukiona Hapamfah Mpeleke Mchunguz Morogoro! Akifel Tena Chnja Kuku
 
Asante kwa ushauri,naomba mawasiliano ya hiyo shule au kama una details za ada,michango nk,plse iweke hapa jukwaani.

My Take Mpeleke Kizuka {TPDF} High School! Pale Ndo Kiboko Ya Reseater! Shule Ipo Ngerengere Ni Bush Kwenye Kambi Ya Jesh! Hospital Ipo Pemben Ya Shule! Msosi Hata Nyumban Hakuna Kama Ule! Walimu Hawana Masihala Coz Ni Wanajesh! Reseater Wapo Weng!! Ukiona Hapamfah Mpeleke Mchunguz Morogoro! Akifel Tena Chnja Kuku
 
Well Shule Ipo Ngerengere! Nauli elfu 5 Kutoka Dar! Au Moro!!! Ni Ya Jesh! Ada Inaenda 1.6M! Chakula + Hospital + Nauli Vyote Humo Humo! Wanakula Wali Usiku Mwaka Mzima! Na J2 Na Alhamis Mchana Cku Nzima Wali!! Nyama Mara 3 Kwa Week! Inshort Chakula Kizur! Na Ufuatiliaj Pale Ndo Kiboko! Toto Yaiyai lazima Linyooke! FOMU zinapatikana Airwing Na Makongo! Kwa Reseater Nenda Kawaone Kule Shulen Ngerengere! Emilias G
 
Asante sana kwa maelezo yakinifu,ila ombi langu bado lipo pale pale naomba namba ya simu ya headmaster/academic master,kabla ye kwenda ni vema nikazungumza nao!

Well Shule Ipo Ngerengere! Nauli elfu 5 Kutoka Dar! Au Moro!!! Ni Ya Jesh! Ada Inaenda 1.6M! Chakula + Hospital + Nauli Vyote Humo Humo! Wanakula Wali Usiku Mwaka Mzima! Na J2 Na Alhamis Mchana Cku Nzima Wali!! Nyama Mara 3 Kwa Week! Inshort Chakula Kizur! Na Ufuatiliaj Pale Ndo Kiboko! Toto Yaiyai lazima Linyooke! FOMU zinapatikana Airwing Na Makongo! Kwa Reseater Nenda Kawaone Kule Shulen Ngerengere! Emilias G
 
Duh Mkuu Mbona Mtihani Huo? Mim Nilitoka Pale 2012 Na Mkuu Kashabadilishwa!! Labda Kukusaidia Poteza Elfu Kumi Ya Naul Ufike Pale Shulen Emilias G
 
Wakuu narudi kwenu kuomba tena mawasiliano ya simu ya Kizuka secondary,maana naishi Arusha na majukumu ya kazi yapo tight ni ngumu kusafiri na kufima shule ili kupata maelezo zaidi.
Msaada wenu bado unahitajika.

Back
Top Bottom