CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Wenye kujua, form five selection zinatoka lini? Serikali, parents need to update their diaries
Hawa watu wa NECTA na wizara inabidi watoe wazazi wafanye maamuzi wapi wampeleke mtoto. They are putting parents and students in a state of uncertainity of what nextSure na mimi nahitaji sana kujua hilo pamoja na post za chuo