Mwongozo juu ya matumizi ya ruzuku mashuleni(sekondary)

Doto1897

Member
Jun 12, 2011
14
0
Naomba msaada juu ya matumizi ya pesa ya ruzuku mashuleni, tunabishana juu ya ununuzi wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari, je hizi 50% za vitabu zimetumwa au tusubiri?
Naomba msaada wenu

1461238973294.jpg


1461239824292.jpg
 
Back
Top Bottom