Ni shule zipi za sekondari O-level za wasichana za bweni?

Alex Xavery

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
230
196
Ninaye mdogo wangu ambaye yuko Morogoro sec day kidato cha pili, mazingira yameshindwa kuwa rafiki kwake kiasi yanaathili matokeo yake, nafikiria kumuhamishia shule ya serikali ya wasichana ambayo ni ya bweni O-level.
Naomba msaada wa ni shule zipi tunaweza kupata huduma ya namna hii.
 
St. Mary Goreth Girls (Kilimanjaro), Canosa Girls, Kibosho Girls, Visitation Girls, St. Christina Girls (Tanga), St. Carolus, Marian Girls and Feza Girls kwa private kwa government basi hapo cheki na wengine...
 
Nashukuru sana kaka, sema tunahitaji za serikali
 
Back
Top Bottom