Tanzania Regional Immigration Training Academy (Trita)

Tanzania Regional Immigration Training Academy (Trita)

la fiducia

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
212
Reaction score
169
Habari za saa hizi wandugu?
Samahani jaman naombwa kujuzwa kuhusu Chuo cha, Tanzania regional immigration training academy!!

Kwa mujibu wa NACTE chuo hiki kinatoa fani ya, Basic Technician Certificate in Immigration.

Je ni shughuli gani unaweza fanya baada ya kumaliza?

Na je ukimaliza una ajiriwa moja kwa moja?

Na kama huajiriwi moja kwa moja je unaweza kujiajiri mwenyewe kwa fani hii!?

Naomba kujuzwa tafadhali kwa anae fahamu.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom