Msaada dharura please

Ungejieleza vizuri mdogo wangu..
Hapo unaposema art una maanisha labda ni somo gani sababu kila somo lina kuwa na kazi zake ukibobea ktk fani/somo hilo
Au umemaliza form 6 combination ya arts HGE, HGK, HGL, HKL unataka kusomea kingine nje ya masomo ya arts

Au umemaliza form 4?? Unataka kujua mustakabali wa mwenendo wako, uwezo wako na fani unayotaka kuisomea??

Nijibu maswali haya ili nikusaidie kukujibu vizuri.
Upo/yupo kidato cha ngapi??
U/anataka kuwa na fani gani baadae??
 
Back
Top Bottom