Msaada kuchagua kati ya kozi hizi

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
3,797
4,163
Habari zenu wadau, Naombeni ushauri juu ya hizo kozi hapo chini
1.Hydrology and meteorology
2.Water supply and sanitation Eng
3.Irrigation Engineering
4.Water laboratory technology
5.Hydrogeology and water well drilling

Ipi ni nzuri katka soko la ajira?
 
Mkuu Kwa matokeo hayo kozi zote ulizo taja Kwa njia ya kawaida hutopata ila zingatia ushauri wa David Harvey hapo juu..
 
Hydrogeology ni kozi moja nzuri sana. Inadeal na underground water.

Ukiangalia kwa Tz tunaresource nyingi sana za surfece water so watu wengi wamejikita hapo. Ila kwa Hydrogeology mpaka uje kumaliza itakuwa na soko kubwa sana hapo nchini. Tazama vyanzo vingi vya surface water vinavyolegalega na kushindwa kukidhi mahitaji.

As time goes,surface water itatumika kwa kiasi kikubwa kwenye maswala ya power production and irrigations,ila underground water itakuwa ni base for human consumptions.
 
Dogo hzo koz n zr lkn ww achana nazo co, tumia chet cha olevel uchukue AMO/CO/Nursing degree, au pharmacy diploma,/labalatory deploma/radiologist diploma ama nursing in education ukafundushe vyuo vya manesi, hizi kozi zote ambazo nmeorodhesha mwisho kuapply May 30 so changamkia diri utafrahia ukipata!
 
Mkuu Kwa matokeo hayo kozi zote ulizo taja Kwa njia ya kawaida hutopata ila zingatia ushauri wa David Harvey hapo juu..
kama kwa njia ya kawaida sitopata,je nitapata kwa njia gani?
 
hzo koz ni nzur bt tatizo ni pesa

sikia mdogo wangu kuna watu kama wew tumewapa ushauri kama huo wangu lakini hivi sana wanakula bata tu.
ingia website ya nacte apply kati ya kozi hizi dip in clinical medicine,pharmacy au optmetry(macho),lab.
kuhusu gharama kwa vyuo vya serikali ni ada ndogo tu mil 1 tu,na kwa alama zako ulizopata o level lazima utapata chuo.
kozi zote ajira ni uhakika na lazima coz tanzania tuna uhaba sana wa madaktari,lakini uking'ng'ania kozi nyingine utasugua benchi home mpka akili itakukaa sawa
 
nashukuru kwa ushauri wako mzur bt sipo vzur kifedha kwa hzo koz ulizoniambia,hvyo nahtaj kusoma mojawapo ya hzo nilizo mention hapo juu kwa kuwa zina nusu udhamin
 
  • Thanks
Reactions: pgo
nashukuru kwa ushauri wako mzur bt sipo vzur kifedha kwa hzo koz ulizoniambia,hvyo nahtaj kusoma mojawapo ya hzo nilizo mention hapo juu kwa kuwa zina nusu udhamin

vijana wengine tunaenda by "chance" badala ya "choice". yani umefeli ata kabla ya kuanza. nafkiri vita kubwa kuliko zote ni ya ki fikra. tayari umehisi sehem izo ni nzuri ila hutakua na uwezo wa kujihudumia ivo ume narrow down to the possible only. kua na moyo mzito, go for what you like or think what is possible, Mungu atafungua njia tu mbele kwa mbele. Risk!
 
Back
Top Bottom