Je ninazo sifa za kupata mkopo?

Mrs minel

Member
Sep 3, 2014
65
54
Habari zenu wakuu.
Naombeni kueleweshwa juu ya hili, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa shule za msingi, nipo mwaka wa kwanza, niliishia kidato cha nne.

Sasa nataka michakato ya mikopo ikianza na mimi ni-apply so ningependa kufahamu je nina sifa za kupata mkopo au sina, ili niache tu nisipoteze Muda tu.
Thanks
 
mkopo wa kusommea ni kwa wanafunz wa sayansi walofika kidato cha 6 endelea kuuulizzia labda walibadilisha sifa za mkopo
 
Habari zenu wakuu. Naombeni kueleweshwa juu ya hili, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa shule za msingi, nipo mwaka wa kwanza,niliishia kidato cha nne. Sasa nataka michakato ya mikopo ikianza na mm niaply so ningependa kufahamu je nina sifa za kupata mkopo au sina niache tu nisipoteze Muda tu. Thanks

kwa ninavyofaham mm ni kwamba km una pass kuanzia 4 olevel na una GPA ya kuanzia 2.5 diploma bas unavigezo vya kuomba mkopo.subiri wadau wengine nao wakupe wayajuayo.
 
Back
Top Bottom