UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,116
3,066
Ina semekana mfubao wa elimu nchi unasababishwa na wanaojiita wasomi wa UDSM kuwa na chuki za kipumbavu na mentality mfuu iliyojengeka vichwani mwao.

Mfano wasomi wa UDSM wamekuwa na tabia ya kuzibia vyuo vingi vilivyo nasababu pia nia ya kua vyuo vikuu mfano DIT, kutokana na kuwa na ma egineer wachache ilikuwa na nia siku nyingi ya kutoa digrii lakini ilipambana na mkono wa uzibe kutoka UDSM isipate wasaha huo mfano wa wazi ni pale kiongozi mwandamizi wa UDSM DR Masua alipoamua kusafiri mpaka ulaya ili kukisiriba chuo hicho kwa wadau ili kisipate hadhi hiyo.

Bado kuna mfano wa Mzumbe kikiandamwa na propaganda za wakuu wa adimizi wa UDSM.
SWALI LA KUJIULIZA!!! kwanini? UDSM ni wahasimu wakubwa wa vyuo vinavyotoa kozi zinazofanana na zile zinazotolewa UDSM.

Na juhudi zao zinapokwama hufanya kila mbinu ili chuo husika kiwe chuo kishiriki chao,habari zinapasha.

Na cha kusikitisha zaidi hawa wahadhiri wamekua mstari wa mbele kukebehi vyuo vingine mfano utasikia ukipata C udsm hii ni A mzumbe, na sivyo hivyo tu wamekua wakienda mbali kulaghai wanafunzi wao na kuwaaminisha vitu vya ajabu ajabu mfano hii digrii ya UDSM ni masters ya ulaya.

Cha ajabu wanafunzi hao nao wamekua wakiamini hayo bila kuhoji mbona hawa ma tutor wetu wengi wamezichukua hizo master ulaya? baada ya ya kuchukua digrii hapa kwanini hawakwenda moja kwa moja DR huko ulaya.habari zilizidi kupasha na kuongeza,

DESA za UDSM ndizo zimeua kabisa elimu ya Tanzania maana zimekuwa zikitoa wanafunzi mabigwa wa desa wasio na skills, chanzo kilipasha.

Na kama mfumo mzima wa elimu Tz kuangaliwa inabidi waanze na UDSM maana inasemekana ni chuo kiliojaa kinyongo, chuki ku-disco watu wenye uwezo kwa sababu za ma-prof binafsi, kupitisha wanafunzi wasio na uwezo kwa uwezo wao wa kuvua chupi.
 
Mkamap,

I am worried that you could be an individual who is emotionally charged to bring forth such accusations. None of your comments have any grounding whatsoever and seem more as a result of your disgust of a few individuals who want to seem superior to those studying in other institutions.

I am a graduate of UDSM and graduated more than 10 years ago and never had such sentiments circulating on campus. I have taught at UDSM for more than 5 years and I have never had such sentiments.

Now, I can understand your point of view from what is happening right now and I could say that I believe your emotionally charged comments and I can only associate your sentiments as a result of this recent proliferation of universities and affiliated colleges.

If I were you and anyone put in a compromising position as being inferior, I would work hard to prove these claims as wrong. Right now it is quite early for new universities and colleges to compete with an old university that is highly ranked among other African universities but time, commitment, diligence and integrity will prove that other new universities are forces to deal with.

My advice, Hang in there, get a good degree - and when I say a good degree I mean 1st or upper 2nd class degree.

Please forgive me if I may sound patronizing but it is not my intention.

Good day.
 
Bi mdogo!
it seems that you play a part of dr.Hosea who without shame said there is no dirty game in RICHMOND SAGA.
Respect people views even if they are against yours, the only thing to do is to ask the one to give the other side of the coin of which during your time you didn't come accross!
call spade a spade!
 
HEY !!!! naona wewe ndugu yangu ndiye unahisia kali kutokana na kuguswa partener wako udsm.
Hey how fantansy is for someone to working with past experience ,keep it in note!!!

BI mkubwa nenda kaulize uje utupe majibu kwanini ofisa mwandamizi wa UDSM DR Masua aliwahi kufungiwaa ofisini pale DIT na gari lake likapinduliwa likapigwa likachomwa moto.
 
Bi mdogo!
it seems that you play a part of dr.Hosea who without shame said there is no dirty game in RICHMOND SAGA.
Respect people views even if they are against yours, the only thing to do is to ask the one to give the other side of the coin of which during your time you didn't come accross!
call spade a spade!

i have been saying and sometimes with evidences, i never get tired, i do the same once more, that UDSM is my former college, their hatred spirity among lecturers is obvious among other grawing universities. you will see and hear them shout UDSM, THE ONLY UNIVERSITY IN TANZANIA I feel discouraged with that slogan, and sometimes feel like abusing but I normally controll my anger.

the UDSM is realy the patriot and old university. it is a mother. now what is a role of a mother. is it not to show directives so that others may follow the way? what is the role of brother ,is it not that the youg may become as delligent as the brother. Are we not , we all controlled by such african ethics mentioned above. what benefit do you get if we remain with few graduates and a lot of advanced diploma. and there come guys from kenya to own all the jobs in tanzania. what do these UDSM graduates fear to the extent of using propaganda. is their degree's quality declining. KWA NINI WANAWEWESEKA KAMA WAKO INNOCENT, AS PER MWAKYEMBE.

vyuo kama MU, DIT vinaandamwa sana na ninasikia eti inafikia hatua ya kuabania hata bajeti, sababu ya propaganda. any way changes huwa haziji siku moja.
 
Bi mdogo!
it seems that you play a part of dr.Hosea who without shame said there is no dirty game in RICHMOND SAGA.
Respect people views even if they are against yours, the only thing to do is to ask the one to give the other side of the coin of which during your time you didn't come accross!
call spade a spade!

Mahesabu,

it seems you have not read my post well enough to realize the tone that I chose to use. In my post, I have not taken a 'Hosea' position and for your information I am in very good contact with my alma mater and I visit the university every once in a while whenever I go home.

These sentiments that Mkamap is throwing are similar to the sentiments that students who were selected to similar programs offered at DUCE and MUCE with the same programs at UDSM. Initially these students took a very inferior position compared to those at UDSM. Nasty sentiments were sent across. But with the diligence and commitment of the staff in this constituent colleges these sentiments are dying out because we have seen record performances from students in these constituent colleges.

I know of lecturers who failed to join UDSM but managed to join these other universities quite easily and hold grudges against UDSM. These are the proponents of some of these sentiments.

In my earlier post, I did not mean to support UDSM but rather try to understand where Mkamap was coming from. So if that did not work for you as it has not worked for Mkamap then you are also entitled to your own interpretation.

everything takes time after all UDSM may act in the manner it has chosen for the sake of quality. How would you allow an institute with only 1% PHD holders, 7% MA/MSC holders and 40% One degree holders with the rest being Advanced Diploma holders become a University? Think about this. But the good thing is that these colleges have worked hard in employing more qualified lecturers and have qualified part-timers in a bid of setting off better programmes. And as I said it is a process. Mkamap will always hear negative sentiments but he should work on getting a good degree rather than wasting his energy on negative comments. He and all those enrolled in these colleges are the salt for change in attitudes. Not me and not you mahesabu unless you are also a student/lecturer there.

If I did not respect his views in the first place I would not have had a good word for him. Maybe you are the one who needs a check for the way you responded.
 
Quality guys!

Nafikiri UDSM are worried about mushrooming of tens of Universities in Tz without adequate equipment and staff!

Well sidhani kama ni wivu!

Way foward- MU, SUA, Dodoma, OUT, DIT wao wapublish na kuwa innovative na competitive kushinda hata UD- na kwa hiyo wapunguze kulia lia kama makinda ya ndege! Walishakuwa wakubwa tayari!
 
Bimkubwa has said it all. These allegations are always perpetuated by either those who dicontinued from UDMS or the graduates from the other universities.As far sa I know, there is Prof. Masua in UDSM and not Dr. Masua; this shows the guy is an outsider and have very limited knowledge of UDSM.
You either take Bimkubwa's facts or go hang.
 
Mahesabu,

it seems you have not read my post well enough to realize the tone that I chose to use. In my post, I have not taken a 'Hosea' position and for your information I am in very good contact with my alma mater and I visit the university every once in a while whenever I go home.

These sentiments that Mkamap is throwing are similar to the sentiments that students who were selected to similar programs offered at DUCE and MUCE with the same programs at UDSM. Initially these students took a very inferior position compared to those at UDSM. Nasty sentiments were sent across. But with the diligence and commitment of the staff in this constituent colleges these sentiments are dying out because we have seen record performances from students in these constituent colleges.

I know of lecturers who failed to join UDSM but managed to join these other universities quite easily and hold grudges against UDSM. These are the proponents of some of these sentiments.

In my earlier post, I did not mean to support UDSM but rather try to understand where Mkamap was coming from. So if that did not work for you as it has not worked for Mkamap then you are also entitled to your own interpretation.

everything takes time after all UDSM may act in the manner it has chosen for the sake of quality. How would you allow an institute with only 1% PHD holders, 7% MA/MSC holders and 40% One degree holders with the rest being Advanced Diploma holders become a University? Think about this. But the good thing is that these colleges have worked hard in employing more qualified lecturers and have qualified part-timers in a bid of setting off better programmes. And as I said it is a process. Mkamap will always hear negative sentiments but he should work on getting a good degree rather than wasting his energy on negative comments. He and all those enrolled in these colleges are the salt for change in attitudes. Not me and not you mahesabu unless you are also a student/lecturer there.

If I did not respect his views in the first place I would not have had a good word for him. Maybe you are the one who needs a check for the way you responded.

all in all am inrolled in very ranked university than udsm.

Hata hivyo hiyo ranki ya university si kitu kwangu kwangu mie nini nilichonacho kichwani mwangu

Hizo mentality zenu za udsm zimepitwa na wakati you must reform your mentality
kama kuna tuhuma udsm lazima watu wakubali na wazifanyie tathmini na kupata marekebisho ili tupate wataalamu bora mambo ya kukumbatia uozo acheni msiwe kama ccm wamekumbatia mabomu mpaka yanaanza kuwaripukia.

Nani anabisha hapo udsm wasichana hawavui chupi ili wapite mitihani yao ??
Nani anabisha huyo dr sijui prof masua hakuchomewa gari lake DIT ni sababu zipi naomba mniambie??

Hiyo udsm wakati inaanzishwa ilikua na ma prof wangapi,dr ms wangapi??
kuanza siku nyingi si kigezo, mnajua kuna vyuo vilianza kabla hata ya yesu lakini leo vinazidiwa na vyuo ambavyo hata miaka 20 havina.
So far what udsm had has done cha kujivunia na kusema chuo hiki ni mahili????

Egypt(misri) ni kati ya nchi kongwe duniani na ni nchi ya kwanza kustaarabika ndio maana wengine tunakwenda karne ya 21 wakati wamisiri wapo karibu karne ya 70 lakini ukongwe wao bado wamezidiwa mbali mno na chi changa kama canada, usa nkn.
hivyo ukongwe wa udsm si hoja ,hoja nikuchukua mhitimu wa udsm na mzumbe na dit pia ifm na kuona nani mfanisi ktk shughuli.
 
anweza kumwita DR kwa sababu yawezekana wakati anatoka udsm, bado alikuwa dr. this is not fattal. hata sisiem wakati inaambiwa kuna mafisadi, bado kuna watu humohumo walisema wanaopiga makelele ni wapinzani, ila ugali ulivyoiva tulishuhudia ni akina nani waliokuwa mstari wa mbele kunawa na kula. sasa wewe jifariji kuwa hao wanawivu na wanaionea gere udsm, ila mimi nimekuwa nikijitambulisha kama udsm graduate tena with a good performance. i realy stand on truth, sababu huku sisi ndio tunaofanya na wote kutoka vyuo vyote na kuajiri pia. nimekuwa mstari wa mbele kunyamazisha kwa hoja wale wanaoleta uzandiki usio na maana.
 
Mahesabu,

it seems you have not read my post well enough to realize the tone that I chose to use. In my post, I have not taken a 'Hosea' position and for your information I am in very good contact with my alma mater and I visit the university every once in a while whenever I go home.

These sentiments that Mkamap is throwing are similar to the sentiments that students who were selected to similar programs offered at DUCE and MUCE with the same programs at UDSM. Initially these students took a very inferior position compared to those at UDSM. Nasty sentiments were sent across. But with the diligence and commitment of the staff in this constituent colleges these sentiments are dying out because we have seen record performances from students in these constituent colleges.

I know of lecturers who failed to join UDSM but managed to join these other universities quite easily and hold grudges against UDSM. These are the proponents of some of these sentiments.

In my earlier post, I did not mean to support UDSM but rather try to understand where Mkamap was coming from. So if that did not work for you as it has not worked for Mkamap then you are also entitled to your own interpretation.

everything takes time after all UDSM may act in the manner it has chosen for the sake of quality. How would you allow an institute with only 1% PHD holders, 7% MA/MSC holders and 40% One degree holders with the rest being Advanced Diploma holders become a University? Think about this. But the good thing is that these colleges have worked hard in employing more qualified lecturers and have qualified part-timers in a bid of setting off better programmes. And as I said it is a process. Mkamap will always hear negative sentiments but he should work on getting a good degree rather than wasting his energy on negative comments. He and all those enrolled in these colleges are the salt for change in attitudes. Not me and not you mahesabu unless you are also a student/lecturer there.

If I did not respect his views in the first place I would not have had a good word for him. Maybe you are the one who needs a check for the way you responded.

bi mkubwa umejitambulisha kama former tutorial, but i am douting with that reasonability. vyuo vilivyoanzishwa vina malecturers wangapi, umefanya utafiti. nilishaweka data hapa kama vipi fanya mrejeo maana hii ni res judicata.

any way, tembelea prospectus zao na uone. ninadhani hata kabla hawaja vyuo vikuu ad. diploma zao zilikuwa zinatisha.

kuhusu kufail au kudisco, ndio wanaofundisha vyuo hivyo sina la kusema maana hata historia ya peter msola huijui.
 
all in all am inrolled in very ranked university than udsm.

Hata hivyo hiyo ranki ya university si kitu kwangu kwangu mie nini nilichonacho kichwani mwangu

Hizo mentality zenu za udsm zimepitwa na wakati you must reform your mentality
kama kuna tuhuma udsm lazima watu wakubali na wazifanyie tathmini na kupata marekebisho ili tupate wataalamu bora mambo ya kukumbatia uozo acheni msiwe kama ccm wamekumbatia mabomu mpaka yanaanza kuwaripukia.

Nani anabisha hapo udsm wasichana hawavui chupi ili wapite mitihani yao ??
Nani anabisha huyo dr sijui prof masua hakuchomewa gari lake DIT ni sababu zipi naomba mniambie??

Hiyo udsm wakati inaanzishwa ilikua na ma prof wangapi,dr ms wangapi??
kuanza siku nyingi si kigezo, mnajua kuna vyuo vilianza kabla hata ya yesu lakini leo vinazidiwa na vyuo ambavyo hata miaka 20 havina.
So far what udsm had has done cha kujivunia na kusema chuo hiki ni mahili????

Egypt(misri) ni kati ya nchi kongwe duniani na ni nchi ya kwanza kustaarabika ndio maana wengine tunakwenda karne ya 21 wakati wamisiri wapo karibu karne ya 70 lakini ukongwe wao bado wamezidiwa mbali mno na chi changa kama canada, usa nkn.
hivyo ukongwe wa udsm si hoja ,hoja nikuchukua mhitimu wa udsm na mzumbe na dit pia ifm na kuona nani mfanisi ktk shughuli.

Mkamap,

Usifikiri kwa yote ninayosema hapa ni kwa sababu natetea wavua chupi UDSM. Hata huku nilipo marekani kwenye TOP 5th University Programme duniani wapo wanovua chupi vile vile si wanawake tu kama unavyotaka kuonyesha hata wanaume pia. je kuvua chupi kwa kumeyumbisha university hii kama unavyoaka kusema ilivyo kwa UDSM---BIG NO!!

Kisichovunwa kwa haki kitakwisha kwa haki!! Kama yalivyomkuta Lowassa. Na ndiyo maana nimekwambia tena kwa upole kuwa let us not generalize issues. Kwa yule asiyejua historia ya UDSM anaweza akafikiri kuwa ilianza na lecturers kama zinavyoanza hizi vyuo vipya.

UDSM ilianza ikiwa University college. Walipotaka iwe University ya kujitegemea waliajiriwa "foreign intellects" kuja kuweka nguvu ya kuikuza university of dar es salaam ili iwe na sifa ya kuitwa university. Professors from all over the world but especially Europe walifanya kazi UDSM hasa ktk miaka ya 70s. na walikuwa kwenye contracts. Miaka ya 80s ilipoanza wengi contracts zao ziliisha na kwa bahati nzuri chuo kilikuwa kimeweza kufanikiwa kuwasomesha vijana wengi ambao sasa hivi ni maProf. wazee pale university of dar es salaam. Kwa kifupi wale foreign professors walikuwepo ili kuandaa mazingira hayo unayoona sasa hivi. Hiyo ndio tofauti kubwa ya UDSM na vyuo hivi vingine vya sasa ambavyo vinataka.

Usije ukakaa kwenye University yako huko yenye hadhi kubwa kuliko UDSM ukaanza kuidharau kwa sababu ya sentiments zako na wala usitukane wanawake wote waliopitia UDSM kuwa wanavua chupi. Kutokana na degree zangu mbili nilizopata UDSM ndio maana na mimi nipo hapa nilipo na ninaheshimika kwa mawazo yangu na innovative ideas nilizonazo. but enough about me, as an individual ninatakiwa nisimame katika yale ambayo nafikiri kuwa yamenisaidia kufikia hapa nilipo.

Kila uozo kina mwanzo wake, sikatai kuna good practices UDSM na pia kuna bad practices na si kwa wanafunzi tu pia na waajiriwa. Mengi yalitokea wiki hii ninafahamu yatawafanya watu wajiangalie upya katika nafasi zao za kutumikia umma. UDSM is not an island!! Kwanza hivi vyuo vinavyochipuka sasa hivi ndivyo vitakavyoonyesha kuwa UDSM haipaswi kubweteka katika sifa zake za zamani na tayari wamegundua hilo na wanalifanyia kazi kwa upande wa wanafunzi na kwa upande wa wafanyakazi.

Kwa hiyo bwana Mkamap, usitupe cheap insults based on unfounded facts. Attitudes zilizokuwepo katika jamii yetu viliweza kuwa infused UDSM and now we are seeing the price this old university is paying. Its a long road but a tough one I can tell you that. Si kwa UDSM tu hata kwa vyuo hivi vingine.
 
Bimkubwa,

1. Ahsante kwa hii data/link! Yaani nchi nzima ya 40m in 2004 tuna PhD ktk higher learning 900 tu na kati ya hao akina mama ni 124? Wengine wako wapi? Wamekimbia nchi? How many Tanzanians with PhDs outside Tz?

2. UD wana nusu ya waalimu wenye Phd Tz yaani 450 out of 900 ni kutoka UD!

3. Kuna haja gani kuwa na utitiri wa vyuo bila waalimu?
 
Mkamap,

Usifikiri kwa yote ninayosema hapa ni kwa sababu natetea wavua chupi UDSM. Hata huku nilipo marekani kwenye TOP 5th University Programme duniani wapo wanovua chupi vile vile si wanawake tu kama unavyotaka kuonyesha hata wanaume pia. je kuvua chupi kwa kumeyumbisha university hii kama unavyoaka kusema ilivyo kwa UDSM---BIG NO!!

Kisichovunwa kwa haki kitakwisha kwa haki!! Kama yalivyomkuta Lowassa. Na ndiyo maana nimekwambia tena kwa upole kuwa let us not generalize issues. Kwa yule asiyejua historia ya UDSM anaweza akafikiri kuwa ilianza na lecturers kama zinavyoanza hizi vyuo vipya.

UDSM ilianza ikiwa University college. Walipotaka iwe University ya kujitegemea waliajiriwa "foreign intellects" kuja kuweka nguvu ya kuikuza university of dar es salaam ili iwe na sifa ya kuitwa university. Professors from all over the world but especially Europe walifanya kazi UDSM hasa ktk miaka ya 70s. na walikuwa kwenye contracts. Miaka ya 80s ilipoanza wengi contracts zao ziliisha na kwa bahati nzuri chuo kilikuwa kimeweza kufanikiwa kuwasomesha vijana wengi ambao sasa hivi ni maProf. wazee pale university of dar es salaam. Kwa kifupi wale foreign professors walikuwepo ili kuandaa mazingira hayo unayoona sasa hivi. Hiyo ndio tofauti kubwa ya UDSM na vyuo hivi vingine vya sasa ambavyo vinataka.

Usije ukakaa kwenye University yako huko yenye hadhi kubwa kuliko UDSM ukaanza kuidharau kwa sababu ya sentiments zako na wala usitukane wanawake wote waliopitia UDSM kuwa wanavua chupi. Kutokana na degree zangu mbili nilizopata UDSM ndio maana na mimi nipo hapa nilipo na ninaheshimika kwa mawazo yangu na innovative ideas nilizonazo. but enough about me, as an individual ninatakiwa nisimame katika yale ambayo nafikiri kuwa yamenisaidia kufikia hapa nilipo.

Kila uozo kina mwanzo wake, sikatai kuna good practices UDSM na pia kuna bad practices na si kwa wanafunzi tu pia na waajiriwa. Mengi yalitokea wiki hii ninafahamu yatawafanya watu wajiangalie upya katika nafasi zao za kutumikia umma. UDSM is not an island!! Kwanza hivi vyuo vinavyochipuka sasa hivi ndivyo vitakavyoonyesha kuwa UDSM haipaswi kubweteka katika sifa zake za zamani na tayari wamegundua hilo na wanalifanyia kazi kwa upande wa wanafunzi na kwa upande wa wafanyakazi.

Kwa hiyo bwana Mkamap, usitupe cheap insults based on unfounded facts. Attitudes zilizokuwepo katika jamii yetu viliweza kuwa infused UDSM and now we are seeing the price this old university is paying. Its a long road but a tough one I can tell you that. Si kwa UDSM tu hata kwa vyuo hivi vingine.

Mie nimekuletea hoja kua maafisa waandamizi wa udsm wana didimiza elimu ya tz wamefikia hatua mpaka kusafiri kwenda ulaya kwa wadau kutia mikono yao ili vyuo husika vibanwe nikakupa mfano wa dr Masua huyu jamaa aliambiwa kuomba radhi na DIT.

Nikakwambia hawa waandamizi wanapotosha wanafunzi wao kwa kuwaambia hiyo C ya udsm ni A ya mzumbe nakwambia kuhusu ulinganifu wao wenye bachala na master ya ulaya ni potofu.

Badala ya kujibu hoja nyie mmebaki kurukaruka na kuja na historia nyingi zisizo na maana eti kwa vile tu mmepita hapo udsm.

Bimkubwa
sikuhitaji kuongelea nilipo ila mbwebwe zenu za kujibu badala ya hoja muna attack mtoa hoja na kusema wenda ninasoma vyuo hivyo vingine ama nili disco hapo udsm hii ndio maana imempelekea hata mushobozi kujitambulisha naye kapita hapo udsm.

Sikua na nia ya prouding ila kuzima mbwebwe za hao wanao sema tokajinyonge eti tunawaonea gere udsm.

Jibuni hoja hizo hapo juu udsm ndio inafubaisha elimu ya bongo.

bimkubwa angalia prospectors ya vyuo hivyo ndio uje na hoja zako
zilizopitwa na wakati.
 
Back on track , apart from UDSM being one of the sources MUNGAI takes the the second position on the list(MAFISADI WA ELIMU).Changing curriculum was a disaster!!!!,VODA-FASTA TEACHERS,SEKONDARI ZA LOWASA( schools without teachers)and the teaching language as the main obstacle!( in primary SWAHILI,in secondary &hl.institutions ENGLISH)VITABU VYA ZIADA NA KIADA contribute to the ""VYANZO VYA MIFUBAO YA ELIMU TZ""
 
UDSM Ndio Chanzo Cha Mfubao Wa Elimu Tz

.......hii ni provocative statement and at the same time dude ame-conclude!!!........ili kuji-satisfy..............very funny indeed

Chukulia tu suala la admission katika Vyuo vyetu.....then utatambua nani anafubaza elimu TZ......vyuo lazima viwe na standards and stick to them.................sio watu kuingia na chuoni kwa vimemo......halafu kufundishwa na Walimu walio tayari ku-compromise status ya PhDs.........ni mangapi watakuwa wana-compromise??...katika ufundishaji wao.........thats hell!!.......sasa nani anafubaza elimu hapo
 
Mie nimekuletea hoja kua maafisa waandamizi wa udsm wana didimiza elimu ya tz wamefikia hatua mpaka kusafiri kwenda ulaya kwa wadau kutia mikono yao ili vyuo husika vibanwe nikakupa mfano wa dr Masua huyu jamaa aliambiwa kuomba radhi na DIT.

Nikakwambia hawa waandamizi wanapotosha wanafunzi wao kwa kuwaambia hiyo C ya udsm ni A ya mzumbe nakwambia kuhusu ulinganifu wao wenye bachala na master ya ulaya ni potofu.

Badala ya kujibu hoja nyie mmebaki kurukaruka na kuja na historia nyingi zisizo na maana eti kwa vile tu mmepita hapo udsm.

Bimkubwa
sikuhitaji kuongelea nilipo ila mbwebwe zenu za kujibu badala ya hoja muna attack mtoa hoja na kusema wenda ninasoma vyuo hivyo vingine ama nili disco hapo udsm hii ndio maana imempelekea hata mushobozi kujitambulisha naye kapita hapo udsm.

Sikua na nia ya prouding ila kuzima mbwebwe za hao wanao sema tokajinyonge eti tunawaonea gere udsm.

Jibuni hoja hizo hapo juu udsm ndio inafubaisha elimu ya bongo.

bimkubwa angalia prospectors ya vyuo hivyo ndio uje na hoja zako
zilizopitwa na wakati.

Hiyo nadhani ni inferiority to inakutafuna, opinion ya mtu au wawili kwamba qualifications za institute hii au ile ni inferior, haziwezi kufanya hali iwe hiyo kama kweli haipo hivyo. Cha muhimu wewe jiamini na ulichopata kwenye institution yako, kama kina kidhi haja wewe mwenyewe ndo unajua. Inaonekana kabisa una wrong perception about UDSM na unajaribu ku raise allegations zisizo na msingi.
 
Acha kuchekesha watu wewe inferiority niipate kutoka udsm?? Mie siwezi kupata na inferioty na chuo chochote duniani ila uwezo wa mtu binafsi mbona hutaki wewe kuelewa??
Jibu hoja hizo hapo juu ,udsm ndio wadidimizaji wa elimu tz
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom