Marufuku ya kuvaa nguo zisizo na staha UDSM

Wisest man

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
993
332
Miaka michache iliyopita niliwahi kusikia kwamba UDSM imepiga marufuku wanafunzi wanaovaa nguo zisizo na adabu kwenye jamii wawapo chuoni hapo, je marufuku hiyo bado ipo au wamelegeza kamba?

Kama utapita chuoni hapo ukiwa na mtu unayemheshimu sana kama mzazi, aisee mbona aibu utaona wewe.
 
Acha vijana wapendeze.

Mzazi unaenda kufanya nini kwa vijana??
 
Hakuna anayependeza kwa kukaa uchi,ukiona wanakukodolea macho wanakufanyia tathmin ya kiwango ulichohribikiwa upstairs
 
Udsm hiyo sheria haijawahi pitishwa.tulisikia huo mjadala uliletwa lakin uongozi ulipinga
 
Miaka michache iliyopita niliwahi kusikia kwamba UDSM imepiga marufuku wanafunzi wanaovaa nguo zisizo na adabu kwenye jamii wawapo chuoni hapo, je marufuku hiyo bado ipo au wamelegeza kamba?

Kama utapita chuoni hapo ukiwa na mtu unayemheshimu sana kama mzazi, aisee mbona aibu utaona wewe.
Mkandala VC alisema UDSM ni universal, multicultural.
 
Back
Top Bottom