Willy T
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 252
- 91
Yani ni kero mpaka mtu unakosa amani, mtu kahama chuo kutoka Open kwenda UDOM na faculty moja ya Education sasa mkopo hawajampa hata pesa za kujikimu akienda anapigwa tarehe na huko chuo nako vivyo hivyo
Jamani mnataka watu wafe au waibe pesa ya field hana
#loan board mnafanya nini
#Mh. Dr. Magufuli haya ni zaidi ya majipu
Njooooooo utumbue haaa mnachosha sasa
Jamani mnataka watu wafe au waibe pesa ya field hana
#loan board mnafanya nini
#Mh. Dr. Magufuli haya ni zaidi ya majipu
Njooooooo utumbue haaa mnachosha sasa